Matthew 22:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akasema nao tena kwa mifano, akawaambia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akajibu, akawaambia tena kwa mithali, akisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu aliendelea kuwajibu viongozi wa Kiyahudi kwa mifano zaidi. Akasema,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akasema nao tena kwa mifano, akawaambia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akasema nao tena kwa mifano, akawaambia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akajibu, akawaambia tena kwa mifano, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akaendelea kusema tena kwa mifano akiwaambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akajibu, akawaambia tena kwa mithali, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akaendelea kusema na lile kundi la watu kwa mifano. Akawaambia:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
YESU akajibu, akawaambia tena kwa mifano, akinena,