Matthew 22:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. Nyumba ya harusi ikajaa wageni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale watumishi wakaenda barabarani, wakawakusanya watu wote waliowaona, wema na wabaya. Ukumbi wa arusi ukajaa wageni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watumwa wale wakatoka wakaenda njia kuu, wakakusanya wote waliowaona, waovu kwa wema; arusi ikajaa wageni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo watumwa wake waliingia mitaani, wakawakusanya watu wote waliowaona, wabaya na wema na kuwaleta kwenye sherehe. Na jumba la sherehe likawa na wageni wengi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. Nyumba ya arusi ikajaa wageni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. Nyumba ya harusi ikajaa wageni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale watumishi wakaenda barabarani wakawakusanya watu wote waliowaona, wema na wabaya. Ukumbi wa arusi ukajaa wageni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale watumishi wakaenda barabarani, wakawakusanya watu wote waliowaona, wema na wabaya. Ukumbi wa arusi ukajaa wageni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watumwa wale wakatoka wakaenda njia kuu, wakakusanya wote waliowaona, waovu kwa wema; harusi ikajaa wageni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. Nyumba ya harusi ikajaa wageni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale watumwa wakatoka, wakaenda njiani, wakawakusanya wote, waliowaona, wabaya na wema; arusi ikajaa wageni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watumwa wale wakatoka wakaenda njia kuu, wakakusanya wote waliowaona, waovu kwa wema; arusi ikajaa wageni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watumishi wakaenda katika barabara, wakakusanya watu wote waliowaona, wabaya na wazuri, na nyumba ya karamu ikajaa na wageni.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watumishi wale wakatoka wakaingia njia kuu, wakakusanya wote waliowaona, waovu na wema: arusi ikajaa wageni.