Matthew 22:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme akamwuliza, ‘Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la harusi?’ Lakini yeye akakaa kimya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akamuuliza, ‘Rafiki, uliingiaje humu bila vazi la arusi?’ Yule mtu hakuwa na la kusema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Rafiki, uliingiaje humu nawe huna vazi la arusi? Naye akatekewa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mfalme akamwuliza, ‘Rafiki ilikuwaje ukaruhusiwa kuingia humo? Hujavaa vazi nadhifu kwa arusi!’ Lakini mtu yule hakuwa na neno la kusema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mfalme akamwuliza, Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la arusi? Lakini yeye akakaa kimya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme akamwuliza, ‘Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la harusi?’ Lakini yeye akakaa kimya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akamwuliza, ‘Rafiki, uliingiaje humu bila vazi la arusi?’ Yule mtu hakuwa na la kusema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akamuuliza, ‘Rafiki, uliingiaje humu bila vazi la arusi?’ Yule mtu hakuwa na la kusema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Rafiki, uliingiaje humu nawe huna vazi la harusi? Naye akatekewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme akamwuliza, ‘Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la harusi?’ Lakini yeye akakaa kimya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Mwenzangu, uliingiaje humo, nawe hukuvaa nguo inayopasa arusini? Yule akanyamaza kimya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Rafiki, uliingiaje humu nawe huna vazi la arusi? Naye akatekewa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwuliza: ‘Rafiki, namna gani umeingia hapa bila kuvaa nguo ya karamu?’ Lakini yule mutu hakumujibu neno.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwambia, Rafiki, uliingiaje humu nawe huna vazi la arusi? Akatekewa.