Matthew 22:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya harusi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ufalme wa mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe arusi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Ufalme wa Mungu unafanana na jambo lililotokea mfalme alipoandaa sherehe ya harusi kwa ajili ya mwanaye.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya harusi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ufalme wa mbinguni unafanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe harusi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya harusi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ufalme wa mbingu umefanana na mtu mfalme aliyemfanyia mwanawe arusi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe arusi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ufalme wa mbinguni unafanana na mufalme mumoja aliyemufanyia mwana wake karamu ya ndoa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwana wake arusi.