Matthew 22:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akauliza, “Picha iliyo kwenye sarafu hii ni ya nani? Na jina lililo kwenye sarafu hii ni la nani?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akawauliza, “Sura hii na maandishi haya ni vya nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakasema: Ni yake Kaisari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawauliza: “Sura hii na jina hili linaloandikwa hapa ni vya nani?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Ya nani sanamu hii, na anwani hii?