Matthew 22:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo wasemao wafu hawafufuki walimwendea Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo hiyo Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa na kumuuliza swali, wakisema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku hiyo hiyo baadhi ya Masadukayo walimjia Yesu. (Masadukayo hawaamini kuwepo kwa ufufuo wa wafu.) Masadukayo walimwuliza Yesu swali.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo walimwendea Yesu. Hao ndio wale wasemao kwamba wafu hawafufuki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo wasemao wafu hawafufuki walimwendea Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hiyo hiyo Masadukayo, wale wasemao kwamba hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Yesu na kumwuliza swali, wakisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hiyo hiyo Masadukayo, wale wasemao kwamba hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa na kumuuliza swali, wakisema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo wasemao wafu hawafufuki walimwendea Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ileile wakamjia Masadukeo wanaosema: Hakuna ufufuko, wakamwuliza
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile ile, Wasadukayo wamoja wakamufikia Yesu. (Watu hawa ndio wanaosema kwamba wafu hawatafufuka.)
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Siku ile Masadukayo, watu wanenao kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,