Matthew 22:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikatokea vivyo hivyo kwa yule ndugu wa pili, na wa tatu, hadi wote saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vivyo hivyo wa pili naye, na wa tatu, hata wote saba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ndugu wa pili akafa pia, jambo hili hilo likatokea kwa ndugu wa tatu na ndugu wengine wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikatokea vivyo hivyo kwa yule ndugu wa pili na wa tatu, hadi wote saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikatokea vivyo hivyo kwa yule ndugu wa pili, na wa tatu, hadi wote saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vivyo hivyo wa pili naye, na wa tatu, hata wote saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilevile na wa pili na wa tatu na wale saba wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vivyo hivyo wa pili naye, na wa tatu, hata wote saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ikakuwa vile kwa ndugu wa pili na wa tatu na mpaka yule wa saba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Vivyo hivyo wa pili nae, na wa tatu, hatta wote saba.