Matthew 22:29 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawajibu, “Nyinyi mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawajibu, “Mwapotoka kwa sababu hamjui Maandiko wala uweza wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akajibu, “Mnakosea sana! Hamjui kile ambacho Maandiko yanasema. Na hamjui lolote kuhusu nguvu ya Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawajibu, “Kweli mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawajibu, “Nyinyi mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawajibu, “Mwapotoka kwa sababu hamjui maandiko wala uweza wa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawajibu, “Mwapotoka kwa sababu hamjui Maandiko wala uweza wa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akajibu, akawaambia, Mnapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawajibu, “Nyinyi mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akajibu, akawaambia: Mwapotelewa, kwani hamyajui Maandiko wala nguvu ya Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawajibu: “Munadanganyika, kwa sababu ya kutojua Maandiko Matakatifu wala uwezo wa Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akajihu, akawaamhia, Mwajidanganya, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.