Matthew 22:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akawatuma watumishi kuwaita walioalikwa waje harusini, lakini walioalikwa hawakutaka kufika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawatuma watumishi wake kuwaita wale waliokuwa wamealikwa karamuni, lakini wakakataa kuja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawatuma watumwa wake wawaite walioalikwa kuja arusini; nao wakakataa kuja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliwaalika baadhi ya watu. Wakati ulipofika mfalme aliwatuma watumwa wake kuwaambia watu waende kwenye sherehe. Lakini walikataa kwenda kwenye sherehe ya mfalme.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, akawatuma watumishi kuwaita walioalikwa waje arusini, lakini walioalikwa hawakutaka kufika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akawatuma watumishi kuwaita walioalikwa waje harusini, lakini walioalikwa hawakutaka kufika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawatuma watumishi wake kuwaita wale waliokuwa wamealikwa karamuni, lakini wakakataa kuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawatuma watumishi wake kuwaita wale waliokuwa wamealikwa karamuni, lakini wakakataa kuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawatuma watumwa wake wawaite walioalikwa kuja harusini; nao wakakataa kuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akawatuma watumishi kuwaita walioalikwa waje harusini, lakini walioalikwa hawakutaka kufika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawatuma watumwa wake, wawaite walioalikwa arusini; nao hawakutaka kuja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawatuma watumwa wake wawaite walioalikwa kuja arusini; nao wakakataa kuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye akawatuma watumishi wake kwa kuwaita watu wale walioalikwa kwa karamu, lakini hawakutaka kufika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawatuma watumishi wake wawaite walioalikwa kuja arusini: nao hawakutaka kuja.