Matthew 22:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kuhusu kufufuka kwa wafu, je, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? Aliwaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjasoma kile Mungu alichowaambia, kwamba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kwa habari ya kiyama ya watu, hamjalisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Someni kile ambacho Mungu alikisema kuhusu watu kufufuliwa kutoka kwa wafu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini kuhusu suala la wafu kufufuka, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kuhusu kufufuka kwa wafu, je, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? Aliwaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjasoma kile Mungu alichowaambia kwamba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjasoma kile Mungu alichowaambia, kwamba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kuhusu kiyama ya wafu, hamjalisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kuhusu kufufuka kwa wafu, je, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? Aliwaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwa ajili ya ufufuko wa wafu hamkusoma, mliloambiwa na Mungu aliposema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kwa habari ya kiyama ya watu, hamjalisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na juu ya kufufuka kwa wafu, hamujasoma bado maneno haya Mungu aliyowaambia?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena katika khabari ya kiyama ya wafu, hamjaiisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema,