Matthew 22:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale umati wa watu waliposikia hayo, walishangaa sana kwa mafundisho yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na makutano waliposikia, walishangaa kwa mafunzo yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu waliposikia hili, waliyashangaa mafundisho ya Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ule umati wa watu uliposikia hayo, ulishangaa sana kwa mafundisho yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ule umati wa watu uliposikia hayo, ulishangaa sana kwa mafundisho yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na makutano waliposikia, walishangaa kwa mafunzo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipoyasikia wakastushwa kwa ufundisho wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na makutano waliposikia, walishangaa kwa mafunzo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makundi ya watu waliposikia maneno hayo, wakashangaa sana na mafundisho yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Makutano waliposikia, wakashangaa kwa elimu yake.