Matthew 22:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmoja wao, mtaalamu wa Torati, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmoja wao, mwana-sheria, akamwuliza, akimjaribu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo mmoja wao, aliye mtaalamu wa Sheria ya Musa, akamwuliza Yesu swali ili kumjaribu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmoja wao, mtaalamu wa sheria, akamwuliza swali ili kumjaribu, akisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmoja wao, mtaalamu wa Torati, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza, akimjaribu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mmoja wao aliyekuwa mjuzi wa Maonyo yake Mungu akamwuliza kwa kumjaribu akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmoja wao, mwana-sheria, akamwuliza, akimjaribu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na mumoja wao, aliyekuwa mwalimu mukubwa wa Sheria, akamufikia Yesu na kumwuliza hivi kwa kumupima:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mmoja wao, mwana sharia, akamwuliza, akimjaribu; akinena,