Matthew 22:40 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amri hizi mbili ndizo msingi wa Torati na Manabii.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sheria yote na maandiko ya manabii yamejengwa katika amri hizi mbili.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amri hizi mbili ndizo msingi wa Torati na manabii.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amri hizi mbili ndizo msingi wa Torati na Manabii.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika amri hizi mbili hutegemea Torati yote na vitabu vya Manabii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika haya maagizo mawili yamo Maonyo yote ya Mungu pamoja na Wafumbuaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amri hizi mbili ndicho kifungo cha Sheria yote ya Musa na mafundisho ya manabii.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amri hizi mbili yazitegemea torati yote nao manabii.