Matthew 22:41 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafarisayo walipokusanyika pamoja, Yesu aliwauliza,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mafarisayo wakiwa wamekusanyika pamoja, Isa akawauliza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Mafarisayo walipokusanyika, Yesu aliwauliza, akisema, Mwaonaje katika habari za Kristo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Mafarisayo walipokuwa pamoja, Yesu aliwauliza swali.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mafarisayo walipokusanyika pamoja, Yesu aliwauliza,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafarisayo walipokusanyika pamoja, Yesu aliwauliza,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Mafarisayo wakiwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Mafarisayo walikuwa wamekusanyika pamoja, Isa akawauliza,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Mafarisayo walipokusanyika, Yesu aliwauliza, akisema, Mnaonaje kuhusu Kristo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafarisayo walipokusanyika pamoja, Yesu aliwauliza,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao Mafariseo walipokusanyika, Yesu akawauliza
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Mafarisayo walipokusanyika, Yesu aliwauliza, akisema, Mwaonaje katika habari za Kristo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kuona vile Wafarisayo walivyokuwa wamekusanyika, Yesu akawauliza:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mafarisayo walipokusanyika, Yesu akawauliza,