Matthew 22:42 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nyinyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mnaonaje kuhusu Al-Masihi? Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni mwana wa nani? Wakamwambia, Ni wa Daudi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akasema, “Nini mawazo yenu juu ya Masihi? Je, ni mwana wa nani?” Mafarisayo wakajibu, “Masihi ni Mwana wa Daudi.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Ninyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nyinyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mnaonaje kuhusu Kristo? Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mnaonaje kuhusu Al-Masihi? Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni Mwana wa Daudi. ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni mwana wa nani? Wakamwambia, Ni wa Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nyinyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akisema: Mwamwonaje Kristo kuwa ni mwana wa nani? Wakamwambia: Wa Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni mwana wa nani? Wakamwambia, Ni wa Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Munafikiri nini juu ya Kristo? Yeye ni mwana wa nani?” Nao wakamujibu: “Yeye ni mwana wa Daudi.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akinena, Mwaonaje katika khabari za Kristo? Yu mwana wa nani? Wakamwambia, Wa Daud.