Matthew 22:43 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawaambia, “Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho wa Mungu, anamwita Al-Masihi ‘Bwana’? Kwa maana asema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawauliza, Imekuwaje basi Daudi katika Roho kumwita Bwana, akisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawaambia, “Sasa ni kwa nini Daudi anamwita ‘Bwana’? Daudi alikuwa anazungumza kwa nguvu ya Roho. Aliposema,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawaambia, “Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawaambia, “Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa Roho, anamwita Kristo ‘Bwana’? Kwa maana asema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Al-Masihi ‘Bwana’? Kwa maana asema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawauliza, Imekuwaje basi Daudi katika Roho kumwita Bwana, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawaambia, “Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawauliza: Tena Dawidi alimwitaje Bwana kwa nguvu ya Roho aliposema: Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti kuumeni kwangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawauliza, Imekuwaje basi Daudi katika Roho kumwita Bwana, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Yesu akawaambia: “Basi namna gani Daudi, akiongozwa na Roho, aliweza kumwita ‘Bwana’, akisema:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Imekuwaje bassi Daud katika Roho kumwita Bwana, akinena,