Matthew 22:44 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Mwenyezi Mungu alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
‘Bwana Mungu alimwambia Bwana Mfalme wangu: Keti karibu nami upande wangu wa kuume, na nitawaweka adui zako chini ya udhibiti wako.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Bwana alimwambia Bwana wangu: keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke adui zako chini ya miguu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Bwana alimwambia Bwana wangu: keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi katika mkono wangu wa kulia, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpaka niwaweke adui zako chini miguuni pako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Bwana wetu Mungu alimwambia Bwana wangu: Ikaa na mamlaka kwa kuume kwangu mpaka nitakapoweka waadui zako chini ya miguu yako.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume, Hatta niwawekapo adui zako chini ya miguu yako?