Matthew 22:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wao hawakujali, wakaenda zao; mmoja shambani kwake, mwingine kwenye shughuli zake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini hawakuzingatia, wakaenda zao: huyu shambani mwake na mwingine kwenye biashara zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hawakujali, wakaenda zao, mmoja shambani kwake, mmoja kwenye biashara yake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini watu walioalikwa hawakujali yale waliyoambiwa na watumwa wa mfalme. Wengine waliondoka wakaenda kufanya mambo mengine. Mmoja alikwenda shambani na mwingine alikwenda kwenye shughuli zake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini wao hawakujali, wakaenda zao; mmoja shambani kwake, mwingine kwenye shughuli zake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wao hawakujali, wakaenda zao; mmoja shambani kwake, mwingine kwenye shughuli zake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini hawakuzingatia, wakaenda zao, huyu shambani mwake na mwingine kwenye biashara zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini hawakuzingatia, wakaenda zao: huyu shambani mwake na mwingine kwenye biashara zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hawakujali, wakaenda zao, mmoja shambani kwake, mmoja kwenye biashara yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wao hawakujali, wakaenda zao; mmoja shambani kwake, mwingine kwenye shughuli zake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wale wakavibeza, wakaenda zao, mmoja shambani kwake, mmoja kwa uchuuzi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hawakujali, wakaenda zao, mmoja shambani kwake, mmoja kwenye biashara yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wale waalikwa hawakushugulika na aliko lake; wakajiendea: mumoja kwenye shamba lake, mwingine kwenye biashara yake,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini hawakujali, wakaenda zao, mmoja shambani kwake, mmoja kwenye biashara yake: