Matthew 22:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawatenda jeuri, na kuwaua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wengine waliwakamata watumwa wa mfalme, wakawapiga na kuwaua.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake wakawatenda vibaya na kuwaua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawadhulumu na kuwaua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawapiga, wakawaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawatenda jeuri, na kuwaua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatesa na kuwaua.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nao waliosalia wakawakamata watumishi wake, wakawatenda jeuri, wakawana.