Matthew 22:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akawaambia watumishi wake: ‘Karamu ya harusi iko tayari kweli, lakini walioalikwa hawakustahili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kisha akawaambia watumishi wake, ‘Karamu ya arusi imeshakuwa tayari, lakini wale niliowaalika hawakustahili kuja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akawaambia watumwa wake, Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha mfalme akawaambia watumishi wake, ‘Sherehe ya harusi iko tayari. Niliwaalika wale watu lakini hawakustahili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha akawaambia watumishi wake: Karamu ya arusi iko tayari kweli, lakini walioalikwa hawakustahili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akawaambia watumishi wake: ‘Karamu ya harusi iko tayari kweli, lakini walioalikwa hawakustahili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kisha akawaambia watumishi wake, ‘Karamu ya arusi imeshakuwa tayari, lakini wale niliowaalika hawakustahili kuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kisha akawaambia watumishi wake, ‘Karamu ya arusi imeshakuwa tayari, lakini wale niliowaalika hawakustahili kuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akawaambia watumwa wake, Harusi iko tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akawaambia watumishi wake: ‘Karamu ya harusi iko tayari kweli, lakini walioalikwa hawakustahili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo akawaambia watumwa wake: Arusi iko tayari, lakini walioalikwa hawakufaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akawaambia watumwa wake, Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akawaambia watumishi wake: ‘Karamu ya ndoa iko tayari, lakini si wale walioalikwa ndio waliostahili kuikula.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kisha akawaambia watumishi wake. Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili.