Matthew 22:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi enendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni arusini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo nendeni kwenye pembe za mitaa na mwalikeni kila mtu mtakayemwona, waambieni waje kwenye sherehe yangu.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje arusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni ye yote mtakayemwona’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Nendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni harusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, nendeni, mfike kwenye njia panda mwalikie arusini wo wote, mtakaowaona!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi enendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni arusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi muende kwenye masanganjia, na watu wote mutakaowaona, muwaalike wafike kwa karamu.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi enendeni hatta njia panda za njia kuu, na wote mwaonao waiteni arusini.