Matthew 23:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye mwalimu mmoja tu, ndiye Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msikubali kuitwa ‘Mwalimu’, kwa sababu mnaye Mwalimu mmoja tu, naye ni Masihi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wala msiitwe Viongozi, maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye mwalimu mmoja tu, ndiye Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye Mwalimu mmoja tu, ndiye Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala msiitwe viongozi; maana Kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wala msiitwe ‘Viongozi,’ maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala msitake kuitwa kiongozi! Kwani kiongozi wenu ni mmoja, ni Kristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikubali kuitwa ‘Waongozi,’ kwa maana muko na Mwongozi Mukubwa mumoja tu, ndiye Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala msiitwe wakufunzi; maana mkufunzi wenu yu mmoja, ndiye Kristo.