Matthew 23:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa yeyote anayejikweza atashushwa, na yeyote anayejinyenyekeza atakwezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanaojifanya kuwa bora kuliko wengine watanyenyekezwa kwa lazima. Lakini watu wanaojinyenyekeza wenyewe watafanywa kuwa wakuu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa ye yote anayejikweza atashushwa na ye yote anayejinyenyekeza atakwezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa yeyote anayejikweza atashushwa, na yeyote anayejinyenyekeza atakwezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yeyote atakayejikweza, atadhiliwa; na yeyote atakayejidhili, atakwezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani atakayejikweza mwenyewe atanyenyekezwa; naye atakayejinyenyekeza mwenyewe atakwezwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na yeyote anayejiinua, atashushwa, lakini anayejishusha, atainuliwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na ye yote atakaejikuza, atadhiliwa; na ye yote atakaejidhili, atakuzwa.