Matthew 23:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi vipofu wapumbavu! Kipi kilicho cha maana zaidi: Dhahabu au hekalu linalofanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi vipofu wapumbavu! Ni kipi kilicho kikuu zaidi: ni ile dhahabu, au ni lile Hekalu linaloifanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wapumbavu ninyi na vipofu; maana ni ipi iliyo kubwa, ile dhahabu, au lile hekalu liitakasalo dhahabu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi ni wasiyeona mlio wajinga! Hamwoni kuwa Hekalu ni kuu kuliko dhahabu iliyo ndani yake? Hekalu ndilo huifanya dhahabu kuwa takatifu!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Enyi vipofu wapumbavu! Kipi kilicho cha maana zaidi: dhahabu au Hekalu linalofanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi vipofu wapumbavu! Kipi kilicho cha maana zaidi: dhahabu au hekalu linalofanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi vipofu wapumbavu! Ni kipi kilicho kikuu zaidi, ile dhahabu au lile Hekalu ambalo ndilo linaloifanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi vipofu wapumbavu! Ni kipi kilicho kikuu zaidi: ni ile dhahabu, au ni lile Hekalu linaloifanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wapumbavu ninyi na vipofu; maana ni ipi iliyo kubwa, ile dhahabu, au lile hekalu liitakasalo dhahabu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi vipofu wapumbavu! Kipi kilicho cha maana zaidi: Dhahabu au hekalu linalofanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wajinga na vipofu ninyi! Iliyo kubwa ni nini? Dhahabu au Jumba la Mungu linaloitakasa dhahabu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wapumbavu ninyi na vipofu; maana ni ipi iliyo kubwa, ile dhahabu, au lile hekalu liitakasalo dhahabu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi wapumbafu na vipofu! Ni nini inayokuwa kubwa zaidi, zahabu au hekalu linaloifanya zahabu ile ihesabiwe kuwa takatifu?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wapumbavu ninyi na vipofu: maana ipi iliyo kubwa, ile dhahabu, au lile hekalu liitakasalo dhababu?