Matthew 23:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi vipofu! Ni kipi kilicho cha maana zaidi: Ile zawadi, au madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa takatifu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi vipofu! Ni kipi kikuu zaidi: ni sadaka, au ni madhabahu yanayoifanya hiyo sadaka kuwa takatifu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vipofu ninyi; maana ni ipi iliyo kubwa, ile sadaka, au ile madhabahu iitakasayo sadaka?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi ni wasiyeona! Hamwoni kuwa madhabahu ni kuu kuliko sadaka yo yote iliyo juu yake? Madhabahu ndiyo inaifanya sadaka kuwa takatifu!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Enyi vipofu! Ni kipi kilicho cha maana zaidi: ile zawadi, au madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa takatifu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi vipofu! Ni kipi kilicho cha maana zaidi: ile zawadi, au madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa takatifu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi vipofu! Ni kipi kikuu zaidi, ile sadaka, au ile madhabahu ambayo ndiyo inayoifanya hiyo sadaka kuwa takatifu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi vipofu! Ni kipi kikuu zaidi: ni sadaka, au ni madhabahu yanayoifanya hiyo sadaka kuwa takatifu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vipofu ninyi; maana ni ipi iliyo kubwa, ile sadaka, au ile madhabahu iitakasayo sadaka?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi vipofu! Ni kipi kilicho cha maana zaidi: Ile zawadi, au madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa takatifu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vipofu ninyi! Iliyo kubwa ni nini? Kipaji au meza ya Bwana inayokitakasa kipaji?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vipofu ninyi; maana ni ipi iliyo kubwa, ile sadaka, au ile madhabahu iitakasayo sadaka?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi vipofu! Ni nini inayokuwa kubwa zaidi, sadaka au mazabahu ndiyo inayoifanya sadaka ile ihesabiwe kuwa takatifu?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wapumbavu ninyi na vipofu; maana ipi kubwa, ile sadaka, au ile madhbahu iitakasayo sadaka?