Matthew 23:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote kilichowekwa juu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, mtu anayeapa kwa madhabahu, anaapa kwa hayo madhabahu na vitu vyote vilivyo juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi yeye aapaye kwa madhabahu, huapa kwa hiyo, na kwa vitu vyote vilivyo juu yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila anayeitumia madhabahu kuapa au kuweka nadhiri ni dhahiri anatumia madhabahu na kila kitu kilicho juu yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote kilichowekwa juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote kilichowekwa juu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, mtu aapaye kwa madhabahu, huapa kwa hiyo madhabahu na vitu vyote vilivyo juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, mtu aapaye kwa madhabahu, huapa kwa hayo madhabahu na vitu vyote vilivyo juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi yeye aapaye kwa madhabahu, huapa kwa hiyo, na kwa vitu vyote vilivyo juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote kilichowekwa juu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu anayeapa na kuitaja meza ya Bwana huapa na kuitaja hiyo meza pamoja navyo vyote vilivyopo pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi yeye aapaye kwa madhabahu, huapa kwa hiyo, na kwa vitu vyote vilivyo juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika haya yote mutu anayeapa kwa jina la mazabahu anaapa kwa jina lile na kwa majina ya vyote vinavyokuwa juu yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi yeye aapae kwa madhbahu, yuapa kwayo na kwa vitu vyote vilivyo juu yake.