Matthew 23:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye mtu anayeapa kwa Hekalu, anaapa kwa hilo Hekalu na kwa huyo akaaye ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo, na kwa yeye akaaye ndani yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na kila anayetumia Hekalu kuapa au kuweka nadhiri kwa hakika analitumia Hekalu na Mungu, anayeishi ndani humo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na anayeapa kwa Hekalu ameapa kwa hilo Hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye mtu aapaye kwa Hekalu, huapa kwa hilo Hekalu na kwa huyo akaaye ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye mtu aapaye kwa Hekalu, huapa kwa hilo Hekalu na kwa huyo akaaye ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo, na kwa yeye akaaye ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena mtu anayeapa na kulitaja Jumba la Mungu huapa na kulitaja hilo Jumba pamoja naye yule anayekaa humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo, na kwa yeye akaaye ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile anayeapa kwa jina la hekalu anaapa kwa jina lile na kwa jina la Mungu anayekuwa ndani yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae aapae kwa hekalu, yuapa kwalo, na kwa yeye akaae ndani yake.