Matthew 23:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo mnathibitisha nyinyi wenyewe kwamba nyinyi ni watoto wa watu waliowaua manabii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo mnajishuhudia wenyewe kwamba ninyi ni wana wa wale waliowaua manabii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivi mwajishuhudia wenyewe, ya kwamba ninyi ni wana wao waliowaua manabii.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo mnathibitisha kuwa ninyi ni uzao wa wale waliowaua manabii.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo mnathibitisha ninyi wenyewe kwamba ninyi ni watoto wa watu waliowaua manabii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo mnathibitisha nyinyi wenyewe kwamba nyinyi ni watoto wa watu waliowaua manabii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo mnajishuhudia wenyewe kwamba ninyi ni wana wa wale waliowaua manabii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo mnajishuhudia wenyewe kwamba ninyi ni wana wa wale waliowaua manabii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivi mwajishuhudia wenyewe, ya kwamba ninyi ni wana wao waliowaua manabii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo mnathibitisha nyinyi wenyewe kwamba nyinyi ni watoto wa watu waliowaua manabii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo mnajishuhudia wenyewe, ya kuwa m-wana wao waliowaua wafumbuaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivi mwajishuhudia wenyewe, ya kwamba ninyi ni wana wao waliowaua manabii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi munajishuhudia ninyi wenyewe kuwa ninyi ni ukoo wa watu waliowaua manabii.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hivi mwajishuhudia nafsi zenu, ya kwamba ninyi ni wana wao waliowana manabii.