Matthew 23:38 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya basi, nyumba yako itaachwa mahame.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama nyumba yenu imeachwa ukiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalieni, nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sasa Hekalu lako litaachwa ukiwa kabisa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Haya basi, nyumba yako itaachwa mahame.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya basi, nyumba yako itaachwa mahame.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama nyumba yako imeachwa tupu na ukiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama nyumba yenu imeachwa ukiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalieni, nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya basi, nyumba yako itaachwa mahame.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtaona, Nyumba yenu ikiachwa, iwe peke yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalieni, nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia, makao yenu yanaachwa ukiwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Angalieni, nyumba yenu mmeachiwa tupu.