Matthew 23:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katika masunagogi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hupenda viti vya mbele katika karamu, na kuketi mbele katika masinagogi,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu hawa wanapenda kukaa sehemu za heshima kwenye sherehe na kwenye viti muhimu zaidi katika masinagogi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katika masunagogi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katika masunagogi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wanapenda kukaa viti vya sehemu za heshima karamuni na vile viti maalum sana katika masinagogi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hupenda viti vya mbele katika karamu, na kuketi mbele katika masinagogi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katika masunagogi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakialikwa chakulani hupenda kukaa penye wakuu, namo nyumbani mwa kuombea hupenda viti vya mbele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hupenda viti vya mbele katika karamu, na kuketi mbele katika masinagogi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanapenda kuikaa kwenye nafasi za heshima katika karamu na katika viti vya mbele ndani ya nyumba za kuabudia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hupenda mahali pa mbele katika karamu, na viti vya mbele katika sunagogi,