Matthew 24:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu, upendo wa watu wengi utapoa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kutakuwepo na uovu mwingi sana duniani kiasi kwamba upendo wa waaminio wengi utapoa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapungua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa sababu upotovu utazidi kuwa mwingi, upendo wa wengi utapoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maovu, upendo wa watu wengi utapunguka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, pendo la watu wengi litapoa.