Matthew 24:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi wale walio Yudea wakimbilie milimani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Watu walio Uyahudi wakimbilie milimani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo walio katika Yudea na wakimbilie milimani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile watakaokuwako Yudea na wakimbilie milimani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi watakaokuwa Yudea, wakimbilie kwa milima.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ndipo walio katika Yahudi wakimbilie milimani;