Matthew 24:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliye juu ya paa la nyumba yake asishuke kuchukua kitu nyumbani mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke ili kuchukua chochote kutoka ndani ya nyumba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakimbie pasipo kupoteza muda ili kuchukua kitu chochote. Wakiwa darini wasiteremke ili kuchukua kitu na kukitoa nje ya nyumba.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliye juu ya paa la nyumba yake asishuke kuchukua kitu nyumbani mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliye juu ya paa la nyumba yake asishuke kuchukua kitu nyumbani mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote aliyeko juu ya paa la nyumba asishuke ili kuchukua cho chote kutoka ndani ya nyumba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke ili kuchukua chochote kutoka ndani ya nyumba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliye juu ya paa la nyumba yake asishuke kuchukua kitu nyumbani mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu atakayekuwapo nyumbani juu asishuke kuvichukua vilivyomo nyumbani mwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakayekutiwa juu ya paa la nyumba asishuke ndani yake kwa kutwaa kitu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nae aliye juu ya nyumba asishuke avichukue vitu vilivyomo nyumbani mwake;