Matthew 24:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakiwa shambani wasirudi nyumbani kuchukua koti.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye aliye shambani na asirudi nyumbani kwenda kuchukua vazi lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye atakayekuwako shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na mutu atakayekutiwa katika shamba, asirudi kwake kwa kutwaa nguo yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nae aliye mashamba asirudi nyuma azichukue nguo zake.