Matthew 24:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Al-Masihi huyu hapa!’ au, ‘Al-Masihi yuko kule,’ msisadiki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati huo watu wataweza kuwaambia, ‘Tazama, Masihi yuko kule!’ Au wakasema, ‘Ni yule!’ Msiwaamini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: Kristo yuko hapa au Yuko pale, msimsadiki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo kama mtu ye yote akiwaambia, ‘Tazama, huyu hapa ni Kristo! Au Kristo yuko kule!’ Msisadiki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo kama mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Al-Masihi huyu hapa!’ Au, ‘Al-Masihi yuko kule,’ msisadiki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo mtu akiwaambia: Tazama, huyu hapa ni Kristo! au akisema: Yule kule! msiitikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kwa wakati ule mutu akiwaambia ninyi: ‘Angalia, Kristo yuko hapa!’ au ‘Yuko kule!’, musimusadiki
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakati huo mtu akiwaambieni, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko huko, msisadiki.