Matthew 24:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazameni, nimekwisha kuwaambia mapema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na sasa nimewatahadharisha kuhusu hili kabla halijatokea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sikilizeni, nimekwisha kuwaonya kabla ya wakati.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Angalieni, nimetangulia kuwaambia mapema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Angalieni, nimekwisha kuwaambia mapema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, nimetangua kuwaambia ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia, nimewaambia haya yote mbele.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Angalieni, nimetangulia kuwaambieni.