Matthew 24:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Basi mtu yeyote akiwaambia, ‘Yule kule nyikani,’ msiende huko. Au akisema, ‘Yuko kwenye chumba,’ msisadiki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Inawezekana mtaambiwa, ‘Masihi yuko jangwani!’ Msiende jangwani kumtafuta. Mtu mwingine anaweza akasema, ‘Masihi yuko katika chumba kile!’ Msiamini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakiwaambieni, Tazameni, yuko jangwani, msiende huko; au, Tazameni, amejificha ndani, msisadiki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo mtu ye yote akiwaambia, ‘Yule kule nyikani,’ msiende huko. Au akisema, ‘Yuko kwenye chumba,’ msisadiki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo mtu yeyote akiwaambia, ‘Yule kule nyikani,’ msiende huko. Au akisema, ‘Yuko kwenye chumba,’ msisadiki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, watakapowaambia ninyi: Tazameni, yuko jangwani! msitoke kwenda kule! Au: Yule! Yumo nyumbani! msiitikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Basi kama watu wakiwaambia: ‘Angalia, Kristo yuko katika jangwa!’, musiende kule. Au wakiwaambia: ‘Angalia, yuko katika chumba cha ndani!’, musiwasadiki.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi wakiwaamhieni, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.