Matthew 24:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawahakikishia kuwa mambo haya yote yatatokea wakati ambao baadhi ya watu wa nyakati hizi wakiwa bado hai.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amin, amin nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli nawaambiani: Kizazi hiki hakitakoma, mpaka yatakapokuwapo hayo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana kweli ninawaambia: hiki kizazi hakitapita mbele ya kutimia kwa mambo hayo yote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amin, nawaambieni, Hakitapita kizazi hiki, hatta yatakapokuwa haya yote.