Matthew 24:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati ule watu wawili watakuwako kondeni; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanaume wawili watakuwa wakifanya kazi shambani, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa, mwingine ataachwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati ule watu wawili watakuwako shambani; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo wawili watakuwa shambani, mmoja atapokewa, mmoja ataachwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati ule watu wawili watakuwako kondeni; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, watu wawili watakutiwa katika shamba moja; mumoja atapelekwa na mwingine ataachwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakati huo watu wawili watakuwa mashamba; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa;