Matthew 24:41 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanawake wawili watakuwa wanasaga kwa kinu cha mkono, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wanawake wawili watakuwa wakisaga; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanawake wawili watakuwa wanasaga nafaka pamoja, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanawake wawili watakuwa wanasaga pamoja, mmoja atatwaliwa, mwingine ataachwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanawake wawili watakuwa wanasaga pamoja, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wanawake wawili watakuwa wakisaga; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo wawili watakuwa shambani, mmoja atapokewa, mmoja ataachwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wanawake wawili watakuwa wakisaga; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawake wawili watakutiwa wakisaga pamoja, mumoja atapelekwa na mwingine ataachwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wanawake wawili watakuwa wakisaga; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa.