Matthew 24:42 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kesheni basi; kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo iweni tayari daima. Hamjui siku ambayo Bwana wenu atarudi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo kesheni, kwa maana hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana Mungu wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kesheni basi; kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo kesheni! Kwani hamwijui siku, atakapojia Bwana wenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kesheni basi; kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi mukeshe, kwa sababu hamujui siku Bwana wenu atakaporudi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kesheni bassi: kwa maana hamwijui saa atakayokuja Bwana wenu.