Matthew 24:47 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli nawaambieni, atamweka mtumishi huyo aisimamie mali yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amin, nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amin, nawaambieni, atamweka juu ya vitu vyake vyote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawaambia bila mashaka yoyote kuwa, bwana wake atamchagua mtumishi huyo awe msimamizi wa kila kitu anachomiliki yule Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kweli nawaambieni, atamweka mtumishi huyo aisimamie mali yake yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli nawaambieni, atamweka mtumishi huyo aisimamie mali yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amin, amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amin, nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amin, nawaambieni, atamweka juu ya vitu vyake vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli nawaambieni, atamweka mtumishi huyo aisimamie mali yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli nawaambiani: Atampa kuzitunza mali zake zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amin, nawaambieni, atamweka juu ya vitu vyake vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli ninawaambia: bwana wake atamuweka mutumishi yule kuwa musimamizi wa mali yake yote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amin, nawaambieni, atamweka juu ya mali zake zote.