Matthew 24:49 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, akaanza kula na kunywa pamoja na walevi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akaanza kuwapiga wajoli wake, na kula na kunywa pamoja na walevi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ataanza kuwapiga watumishi wengine na kuanza kunywa na kula na walevi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, akaanza kula na kunywa pamoja na walevi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, akaanza kula na kunywa pamoja na walevi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake na kula na kunywa pamoja na walevi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akaanza kuwapiga watumwa wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, akaanza kula na kunywa pamoja na walevi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akaanza kuwapiga watumwa wenziwe na kula na kunywa pamoja na walevi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akaanza kuwapiga wajoli wake, na kula na kunywa pamoja na walevi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye ataanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nae akianza kuwapiga wajoli wake, na kula na kunywa pamoja na walevi: