Matthew 24:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wengi watatokea wakisema kila mmoja kwamba yeye ndiye Kristo nao watawapotosha watu wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye Al-Masihi,’ nao watawadanganya wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wengi watakuja na watatumia jina langu. Watasema, ‘Mimi ndiye Masihi.’ Na watawadanganya watu wengi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana wengi watatokea na kulitumia jina langu wakisema: Mimi ndiye Kristo, nao watawapotosha watu wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wengi watatokea wakisema kila mmoja kwamba yeye ndiye Kristo nao watawapotosha watu wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu wakidai, ‘Mimi ndiye Kristo,’ nao watawadanganya wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye Al-Masihi,’ nao watawadanganya wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wengi watatokea wakisema kila mmoja kwamba yeye ndiye Kristo nao watawapotosha watu wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wengi watakuja kwa jina langu na kusema: Mimi ni Kristo; nao watapoteza wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengi watakuja wakijiita kwa jina langu, wakisema: ‘Mimi ni Kristo!’ Nao watawadanganya wengi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana wengi watakuja kwa jina langu, wakinena, Mimi ni Kristo; na watadanganya wengi.