Matthew 24:50 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani, na saa asiyojua,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo bwana wake atakuja wakati asioutarajia, ambapo mtumishi hakujiandaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
bwana wa mtumishi huyo atakuja siku ambayo mtumishi huyo hamtazamii na saa ile ambayo haijui.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyotazamia, na saa asiyojua,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, bwana wake mtumwa yule atamjia siku, asiyomngojea, na saa, asiyoitambua,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani, na saa asiyojua,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi bwana wa mutumishi yule atakuja siku asiyozania na saa asiyojua.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bwana wa mtumishi yule atakuja siku asiyotazamia, na saa asiyotambua,