Matthew 24:51 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atamwadhibu vibaya na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atamkata vipande vipande na kumweka pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Bwana atamwadhibu mtumishi huyo na kumpeleka anakostahili kuwapo pamoja na watumishi wengine waliojifanya kuwa wema. Huko watalia na kusaga meno kwa maumivu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Atamkatilia mbali na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atamwadhibu vibaya na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atamkata huyo mtumishi vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atamwadhibu vibaya na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha atamchangua kuwa vipande viwili, nalo fungu lake atampa pamoja na wajanja. Ndiko, kitakakokuwa kilio na kukereza meno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye atamupiga vikali na atamwazibu sawa na watu wanafiki, akimuweka kwenye nafasi atakapolia na kusaga meno.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
atamkata vipande viwili, ataweka sehemu yake pamoja na wanafiki: ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.