Matthew 24:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya yote yatakuwa ndio mwanzo wa uchungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mambo haya ni mwanzo wa matatizo, kama uchungu wa kwanza mwanamke anapozaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya yote yatakuwa ndio mwanzo wa utungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya yote yatakuwa ndio mwanzo wa utungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hayo yote ndiyo mwanzo wa uchungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hayo yote ni mwanzo tu wa uchungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na haya yote ni kama mwanzo wa maumivu ya kuzaa tu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Haya yote ni mwanzo wa utungu.