Matthew 25:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakati huo, ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wakati huo, ufalme wa mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nyakati hizo, ufalme wa Mungu utafanana na wanawali kumi waliokwenda kusubiri kuwasili kwa bwana arusi wakiwa na taa zao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Wakati huo, Ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakati huo, ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati huo, Ufalme wa Mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati huo, Ufalme wa Mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana harusi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wakati huo, ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Hapo ufalme wa mbingu utafanana na wanawali kumi walioshika taa zao, wakatoka kwenda kumpokea bwana arusi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Halafu kwa wakati ule, Ufalme wa mbinguni utafanana na wabinti kumi waliotwaa taa zao na kwenda kumupokea bwana-arusi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
NDIPO ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.