Matthew 25:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yeye akawajibu, ‘Nawaambieni kweli, siwajui nyinyi.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini yeye bwana arusi akawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, siwajui ninyi!’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajibu akasema, Amin, nawaambia, siwajui ninyi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini bwana arusi akajibu, ‘Kwa hakika hapana! Wala siwajui ninyi.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini yeye akawajibu, Nawaambieni kweli, siwajui ninyi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yeye akawajibu, ‘Nawaambieni kweli, siwajui nyinyi.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini yeye bwana arusi akawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, siwajui ninyi!’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini yeye bwana arusi akawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, siwajui ninyi!’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajibu akasema, Amin, nawaambia, siwajui ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yeye akawajibu, ‘Nawaambieni kweli, siwajui nyinyi.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini akajibu akisema: Kweli nawaambiani: Siwajui ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu akasema, Amin, nawaambia, siwajui ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini bwana akajibu: ‘Kweli ninawaambia: mimi siwajui ninyi.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akajibu, akasema, Amin, nawaambieni, siwajui ninyi.