Matthew 25:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: Mmoja fedha talanta tano, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmoja akampa talanta tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; kila mtu kwa kadiri ya uwezo wake; akasafiri.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alimgawia kila mtumishi kiasi cha mali atakachosimamia. Alimpa mmoja talanta tano. Alimpa mtumishi mwingine talanta mbili na akampa mtumishi wa tatu talanta moja. Kisha akaondoka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: mmoja sarafu tano za fedha ziitwazo talanta, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: mmoja fedha talanta tano, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmoja akampa talanta tano mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmoja akampa talanta tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; kila mtu kwa kadiri ya uwezo wake; akasafiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: Mmoja fedha talanta tano, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akampa kila mtu fungu, aliwezalo mwenyewe kulitunza, mmoja fedha elfu tano, mmoja elfu mbili, mmoja elfu moja, kisha akaenda zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; kila mtu kwa kadiri ya uwezo wake; akasafiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamupatia mumoja furushi tano za zahabu, mwingine furushi mbili na mwingine furushi moja kwa kadiri ya uwezo wa kila mumoja, kisha akasafiri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; killa mtu kwa kadri ya uwezo wake; marra akasafiri.